36 Quotes by Enock Maregesi about money






  • Author Enock Maregesi
  • Quote

    Pesa inayokuinua juu ndiyo itakayokushusha chini, kwani hakuna kilevi hapa duniani kama pesa.

  • Tags
  • Share

  • Author Enock Maregesi
  • Quote

    Lengo kuu la Kolonia Santita kuuza madawa hayo ni kuwafadhili askari wa msituni wa Kolombia (magorila wa vyama visivyokuwa rasmi vya kisiasa au vyama haramu vya kisiasa) kushika hatamu za uongozi wa Kolombia, kwa makubaliano ya Kolonia Santita kutawala biashara ya kokeini ya taifa hilo la Amerika ya Kusini. WODEA lazima ilizuie Shirika la Madawa ya Kulevya la Kolonia Santita kuuza madawa hayo kwa gharama yoyote ile, pesa au damu, kutetea afya na amani ya dunia.

  • Tags
  • Share