922 Quotes by Enock Maregesi
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mungu humwambia mtu kitu cha kusema na mtu huwambia wenzake kile ambacho Mungu amemwambia aseme. Lakini utajuaje kama Mungu amekuchagua wewe kusema au kufanya kitu? Mungu atakwambia kupitia Roho Mtakatifu, na utajisikia msukumo mkubwa wa kusema au kufanya kile ambacho Mungu anataka useme au ufanye. Unabii unaweza kumtokea mtu yoyote, mahali popote, anayejua jinsi ya kuwasiliana na Mungu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Njia rahisi ya kujua maana ya ndoto zako ni kurekodi ndoto zako kila siku asubuhi, au kila unapoota, kwa angalau majuma mawili. Baada ya muda huo ndoto zako zitaanza kuleta maana. Lengo lake kubwa ni kukufanya ujitambue.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Afrika imekaliwa na mizimu. Wazungu hawataweza kumaliza mali ya Afrika. Mali ya Afrika ni ya Waafrika wenyewe. Itamalizwa na sisi wenyewe.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kabla hawajakupiga kwa sheria wapige kwa kujisajili.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukitaka kuridhika lazima ufike juu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukitaka kujua kwa nini ya kila kitu endeleza nafsi yako kuwa huru!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Falsafa ya Usawa kwa Watu na Vitu Vyote ya Yin-Yang ya Kichina ni falsafa inayotumiwa na Wachina, kujifunza sanaa ya mapigano na kutengeneza madawa ya asili, na magaidi wa madawa ya kulevya wa Amerika ya Kusini na Kaskazini kusaidia watu waliosahauliwa na serikali zao.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kila mmoja wetu ana kitu cha kutoa. Wengine wana pesa, wengine wana vipaji, wengine wana muda. Vipaji vyote tulivyopewa na Mungu, vikubwa au vidogo, hatuna budi kuvitumia kiukarimu kwa watu wanaovihitaji. Tunapofanya hivyo tunaleta mabadiliko katika dunia kwa ajili ya watu fulani, na tunapata maana halisi ya maisha na toshelezo la moyo katika maisha yetu.
- Tags
- Share