922 Quotes by Enock Maregesi
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Wake up, open your eyes, know the truth.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Sheria wakati mwingine inaweza kuonea mtu. Pigana hata tone la mwisho kutetea haki yako.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kama Shetani hawezi kulala sisi tutalalaje? Pambana hadi siku ya mwisho.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Pambana na Shetani kwa upanga wa imani ambao ni ukweli kwani ukweli ndiyo utakaokuweka huru.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Katika umoja hakuna 'umimi', kuna 'sisi kwa pamoja'; na lengo la umoja ni kutengeneza nguvu, ya ziada.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mafundisho mengine ambayo si ya kweli ya Ukristo ambayo hutokana na utambuzi wao wa matukio haya ni ‘Siku ya Bwana’. Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti kote duniani yanaonekana kuwa na nia njema lakini huwadanganya watu kuamini kuwa Kristo alibadili siku ya kupumzika kutoka Sabato kwenda Jumapili. Angewezaje kufanya hivyo? Angeweza kufanya hivyo kwa ufufuo wake!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Hakuna maana yoyote kupambana na Shetani katika dunia hii ambapo yeye ndiye mtawala. Pambana na Shetani katika dunia ya kiroho ambapo Shetani hana nguvu yoyote dhidi ya Yesu Kristo.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Wananchi wataendelea kuwepo hata kama serikali haitakuwepo. Serikali haiwezi kuwashinda wananchi. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu. Serikali haiwezi kumshinda Mungu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kipaji cha mtu huwezi kushindana nacho. Ukijaribu kushindana nacho unajaribu kushindana na kitu kilichoshindikana.
- Tags
- Share