922 Quotes by Enock Maregesi




  • Author Enock Maregesi
  • Quote

    Dikteta uchwara ni sifa nzuri au sifa mbaya? Tafakari. JPM ni kipenzi cha watu. Lissu ni kipenzi cha watu pia. Kupambana na kipenzi cha watu si kazi rahisi.

  • Tags
  • Share


  • Author Enock Maregesi
  • Quote

    Mlaodikia ni mtu anayejua kwamba bustani yake ina magugu lakini anaona uvivu kwenda kuipalilia. Kinachofanya aone uvivu kwenda kuipalilia ni raha za dunia hii. Usiwe vuguvugu. Kama umeamua kuwa moto kuwa moto. Kama umeamua kuwa baridi kuwa baridi.

  • Tags
  • Share