922 Quotes by Enock Maregesi
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Utaratibu ni ustaarabu na ustaarabu ni utaratibu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mungu anaishi ndani ya damu, maisha ya Mungu yalikuwa yanaishi ndani ya mwili wa Yesu Kristo, anaishi ndani ya miili yetu. Unapokula damu, unapokunywa damu, unakula, unakunywa sehemu ya Mungu aliyekuumba.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kuwa na huruma kwa malaika anayekulinda ni kujifunika kwa silaha kamili ya Mungu. Ukijifunika kwa panoplia utamrahisishia kazi malaika wako, aliyepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kukulinda.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Jibu nilichokuuliza. Utajibu, hutajibu?""Nitajibu.""Usipojibu?""Nitajipaka rangi, ya pinki." Murphy hakumwelewa."Utanifanya chochote utakachotaka.""Mmenigundua vipi?" Murphy aliuliza akirekebisha suruali.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Wakati unaokubalika ni sasa. Ukijitambulisha utatambulika, usipojitambulisha hutatambulika. Serikali haitambui wahuni.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Poverty and worldly wealth are the sources of spiritual poverty.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Heri kuwa Mkristo wa Yesu Kristo, au Mwislamu wa Mtume Muhammad, kuliko kuwa mkristo wa kanisa au mwislamu wa msikiti.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiogopa kushindwa hutashinda.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Heri kushindwa kuliko kuogopa.
- Tags
- Share