922 Quotes by Enock Maregesi
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Israeli, kama adhabu kwa uozo wake wa kiroho na kimaadili, ilivamiwa na Ashuru katika mwaka wa 721 BC na kuangushwa vibaya katika vita hiyo kubwa. Waisraeli waliosalia walitekwa na kupelekwa uhamishoni ambako inaonekana walitoweka kabisa katika uso wa dunia hii. Hili lilikuwa ni jibu la Mungu kwa dhambi na uasi wao.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Utii kwa Mungu unapokosekana injili ambayo Mungu anataka ihubiriwe haitahubiriwa. Itahubiriwa na manabii wa uongo.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kama Mungu na Shetani hawako ndani yako, hiyo vita ya kiroho unaipigania wapi?
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Shetani usimchokoze. Ukimchokoza anakuvaa kwelikweli.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Wakati mwingine unakokwenda siko. Rudi nyuma. Ukirudi nyuma huko nyuma ndiko mbele yako.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Shetani hawezi kuona wala kusikia kinachoendelea ndani ya moyo wako.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Shetani ni mungu wa dunia hii kwa wale wasiomwamini Mungu. Kwa wale wanaomwamini Mungu, Mungu ndiye Mungu wa dunia hii.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
We are the children of Nelson Mandela; we are the children of Kwame Nkrumah; we are the children of Haile Selassie; we are the children of Samora Machel; we are the children of Robert Mugabe; we are the children of Patrice Lumumba; we are the children of Julius Kambarage Nyerere. We know who we are.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Sisi ni watoto wa Nelson Mandela; sisi ni watoto wa Kwame Nkrumah; sisi ni watoto wa Haile Selassie; sisi ni watoto wa Samora Machel; sisi ni watoto wa Robert Mugabe; sisi ni watoto wa Patrice Lumumba; sisi ni watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tunajua sisi ni nani.
- Tags
- Share