922 Quotes by Enock Maregesi
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Watu wa kulisaidia bara la Afrika hawatatoka Amerika au kwingineko. Afrika ni tatizo letu. Watatoka Afrika kwenyewe.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Say no to a lot of yeses.
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mpenzi. Sikiliza. Magaidi yaliyomuua Marciano yana mtandao dunia nzima na watu wote wanayajua. Yanaitwa Kolonia Santita. Tatizo hata hivyo ni moja: Hakuna mtu amewahi kuthibitisha au kutoa ushuhuda wa uhalifu wao ili watiwe nguvuni. Huendesha maisha yao kibabe na yana kila mbinu ya kukwepa sheria, ndani na nje ya Meksiko. Watu wengi wameuwawa kwa sababu ya Kolonia Santita. Ukileta kidomodomo yanakuua; au yanakupa notisi ya kuhama mji au nchi, ukakae mbali na Meksiko au Mexico City.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Nuhu anasemekana kuwa mtu aliyedharaulika sana huko Babeli. Maisha yake yalijaa utata. Lakini ukweli ni kwamba, bila Nuhu mimi na wewe tusingekuwapo. Unayemdharau sana mwogope sana.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Hata ufanyeje watakudharau! Songa mbele!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Daudi alimshinda Goliati akiwa na umri wa miaka 15. Lakini akiwa na umri wa miaka 45 Goliati alimshinda Daudi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Hakuna anayeweza kuwa tajiri wa kupindukia bila kuwa na uhusiano na Wayahudi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mpinga Kristo atakuwa Myahudi, kwa sababu Mfalme Daudi alikuwa Myahudi, na Yesu ni Myahudi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Adamu ndiye mtu wa kwanza kumjua Mungu.
- Tags
- Share