922 Quotes by Enock Maregesi
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Tumia pesa kibahili, si kibadhiri.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kazi ya mtoto ni kusoma.
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Asiyeogopa kufa anaogopa kuishi.
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Behave professionally and let any bad feelings out of life!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Andika Kiswahili vizuri. Wala usiogope kuonekana mshamba. Kwa sababu unachokifanya hasa ni kwa ajili ya vizazi vijavyo.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kila binadamu ana nguvu ya ziada katika mwili wake ijulikanayo kitaalamu kama ATP. ATP (‘Adenosine Triphosphate’) ni molekuli ndogo zaidi iliyoko ndani ya seli ambayo kazi yake ni kutengeneza nguvu ya ziada kwa ajili ya seli, na kwa ajili ya mwili mzima kwa jumla, pale mwili unapoonekana kukata tamaa au kuishiwa na nguvu kabisa. Ni kama jenereta ya umeme kwa ajili ya seli, inayofanya kazi pale umeme wa kawaida unapokatika.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Changudoa huuza huduma ya ngono kwa kibiritingoma.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Hakuna anayeweza kuokolewa kwa imani ya mwingine.
- Tags
- Share