17 Quotes by Enock Maregesi about Universe
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Unapoupinga utafiti wa mtu upinge kwa utafiti mwingine! Bila hivyo unashindana na ulimwengu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiropoka unashindana na ulimwengu! Kiri, ikiwa umekosa, na tubu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Umeufanyia nini ulimwengu?
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kwa sababu ya kutofautiana kati ya Mungu na ulimwengu huu, dunia hii haiwezi kuwa dunia ambayo Mungu alijitolea Mwanawe wa pekee.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maisha ni kitu cha ajabu kuliko vyote ulimwenguni kilichowashangaza hata wanasayansi wa dunia hii. Amka na uujue ukweli.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Tuko peke yetu ulimwengu mzima halafu bado tunagombana na kudharauliana!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Damu ya Yesu Kristo ina nguvu katika ulimwengu wowote ule uliowahi kuumbwa na Mwenyezi Mungu. Itumie!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiwaza kitu kwa dakika moja na sekunde nane – huu ni utafiti wangu tu – hicho kitu kitaanza kujiumba kwa ajili yako sehemu fulani ulimwenguni. Ukiamini kwa kiasi cha kutosha kwamba umekipata, utakipata. Haijalishi kama una elimu au huna. Hiyo ndiyo siri kubwa zaidi ya utajiri kuliko zote duniani – MAWAZO YAKO.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa asilimia mia moja. Mengine yote mwachie Mungu au ulimwengu. Mungu pekee ndiye anayekupa njia na bahati, ili wewe ufanikiwe. Atakupa nguvu ya kufanya kazi na ujanja wowote utakaohitajika, katika harakati hizo za mafanikio yako.
- Tags
- Share