24 Quotes by Enock Maregesi about Wisdom
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukarimu ni bora kuliko hekima, na kulitambua hilo ndiyo mwanzo wa hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Utajiri wa nje huwa unaanzia ndani, nao ni hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mungu hagawi pesa kwa watu kama watu wanavyofikiria. Anagawa upendo na hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Hasanati ni matendo mema. Mema yanatoka kwa Mungu. Mabaya yanatoka kwa Shetani. Mke mwema anatoka kwa Mungu. Mke mbaya anatoka kwa Shetani. Mke mwema ana hekima na busara, ana maadili na tabia njema, ana utu na uchapakazi, ana wema na upendo, na ana aibu kwa wanaume.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ni vizuri kujua mambo. Lakini ujue kwa hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kuna tofauti kati ya hekima na maarifa. Unaweza kuwa profesa ukawa mpumbavu, unaweza kuwa gumbaru ukawa na hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Geuza hasira yako kuwa hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Within the head there's mind. Within the heart there's wisdom. Colonialists ruled the hearts of Africans. But some of them left. However, the rest control heads.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida maana shida ni kipimo cha akili, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima maana hekima ni ufunguo wa maamuzi mema na udadisi wa kiakili.
- Tags
- Share