4 Quotes by Enock Maregesi about blessings
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kuzaliwa na kuishi ni mibaraka mikubwa ya Mwenyezi Mungu kuliko yote duniani.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukila kiapo cha uaminifu, kwa mfano, kwa jina la Mwenyezi Mungu, kisha uaminifu huo ukakushinda, nini kitatokea? Laana! Yaani, badala ya kubarikiwa, utalaaniwa na Mungu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mtu akikupigia simu analia mwambie anyamaze na amshukuru Mungu. Imani ya Mungu ni kubwa kuliko matatizo aliyoyapata.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Baraka inapotoka kwa Mungu lengo lake ni kukufanya umpende Mungu kupitia wenzako.
- Tags
- Share