9 Quotes by Enock Maregesi about change
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Msichana wa miaka 18 miaka ya 70 ni sawa na msichana wa miaka 8 leo. Msichana wa miaka 8 leo anayajua maisha kuliko msichana wa miaka 18 miaka ya 70. Tuwape watoto wetu haki yao ya msingi ya kuwa watoto katika siku za ujana wao, kabla hawajawa watoto tena watakapokuwa wakubwa.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukitaka amani jirekebishe wewe mwenyewe kwanza ndani yako, badilika kitabia, ili uwe na uwezo wa kuwapenda wengine kama unavyojipenda.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Usipobadilisha maisha yako maisha yako yatakubadilisha.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kati ya nchi yako na serikali yako ni kitu gani unakipenda zaidi? Ipende zaidi nchi yako, kuliko serikali yako!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kuzaliwa na kuishi ni mibaraka mikubwa ya Mwenyezi Mungu kuliko yote duniani.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maarifa ni mbegu ya mabadiliko.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Words are the bricks of our world and they have the power to change it.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kuleta mabadiliko katika dunia si lazima upate nafasi katika dunia. Kuleta mabadiliko katika dunia leta mabadiliko katika nchi yako.
- Tags
- Share