5 Quotes by Enock Maregesi about citizen
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mwananchi yeyote mwenye taarifa inayohusu biashara haramu ya madawa ya kulevya aitoe taarifa hiyo kwa mamlaka zinazohusika na alindwe, na mamlaka hizo, kwa zawadi na usalama wa maisha yake.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kazi yenu kwetu ni kutusaidia, na kazi yetu kwenu ni kuwasaidia pia; kwani kila mwananchi anao wajibu wa kuisaidia serikali yake. BASATA, katika jina la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, endeleeni kuhamasisha na kuhakikisha wasanii wote nchini wanajisajili; kwa kuendelea kutoa tuzo mbalimbali za sanaa na jitihada nyingine, na kwa kuendelea kufuatilia kuhakikisha kuwa kila msanii anajisajili na kupata kibali.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Radia hakuwa na makosa. Wengi huishi maisha yao bure. Yeye aliishi ya kwake kwa ajili ya watu. Hakuishi tu kama raia wa Tunisia. Aliishi kama raia wa uanadamu, maadili mema na uchapakazi. Watu walimsifu kwa kuwa na kaulimbiu ya 'Acha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta'.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mwananchi akitoa taarifa nyeti kwa serikali asisalitiwe kwa namna yoyote ile na serikali hiyo, na serikali ikitoa taarifa nyeti kwa mwananchi isisalitiwe kwa namna yoyote ile na mwananchi huyo.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Rais wa nchi kama humwelewi hujui. Mambo anayoyasimamia ni makubwa kuliko mwananchi wa kawaida anavyoweza kuelewa.
- Tags
- Share