6 Quotes by Enock Maregesi about friends
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maadui ni wazuri kuliko marafiki na mashabiki ni wazuri kuliko maadui. Maadui wanakusaidia kujua wewe ni nani na kwa nini uko hapa. Ukishajua wewe ni nani na kwa nini uko hapa, hakuna mtu atakayekuzuia kufanya chochote unachokiamini zaidi na kukifanya. Chochote unachokiamini zaidi na kukifanya ndicho Mungu alichokupangia kufanya hapa duniani, na kwa sababu hiyo utapata maadui. Ili utoke lazima uwe na mashabiki, marafiki na maadui.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Usiwapoteze marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wako, wala usiwaache marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wao.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Marafiki zako wa mwanzo ni wazuri kuliko wote.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Do not lose your first friends because of your ignorance, and do not leave your first friends because of their ignorance.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Katika karne hii watu watawapenda zaidi marafiki kuliko ndugu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiwa mchapakazi hodari mwenye msimamo na nia thabiti ya utendaji kazi unaweza kuwa mpweke kwa maana ya kuwa na marafiki wachache. Lakini mashabiki utakuwa nao wengi.
- Tags
- Share