13 Quotes by Enock Maregesi about hatred
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kati ya nchi yako na serikali yako ni kitu gani unakipenda zaidi? Ipende zaidi nchi yako, kuliko serikali yako!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukitaka kumsahau mtu au kitu usimchukie au usikichukie kwa sababu kuchukia kuna nguvu sawa na kupenda.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Shetani hana uwezo wa kupandikiza chuki au upendo au kitu chochote ndani ya moyo wa mtu, bila mtu mwenyewe kupenda.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiichukia serikali yako umeichukia nafsi yako. Kwa sababu serikali ndiyo inayoongoza nchi, na nchi ni mwili mmoja.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kuipinga serikali si kuichukia; bali ni ombi la kutaka ibadilike.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Love is a bridge of hatred.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Upendo ni daraja la chuki.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Chukia kushindwa, zaidi ya unavyofurahia kushinda.
- Tags
- Share