4 Quotes by Enock Maregesi about insult
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kumbuka, ukimrudishia Shetani tusi utakuwa umejitukana mwenyewe; kwa sababu kile unachokiona nje kiko ndani yako.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mtu akikupiga ngumi utaumia. Akikutukana utaumia. Akikunyima Neno la Mungu utaumia pia.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mtu akikutukana mwambie asante au samahani. Asante au samahani vina nguvu kuliko kuomba (asikutukane) au kutukana.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Usitukane kamwe. Pigana itakapobidi.
- Tags
- Share