5 Quotes by Enock Maregesi about morals
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Sababu ya kupanda na kuanguka kwa mataifa ni ya kimaadili na kiroho. Hakuna taifa linaloweza kutegemea nguvu na mali zake ili kujiokoa kutokana na madhara ya ukiukwaji wa maadili.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mdanganyifu hudanganya wanaopenda kudanganywa.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mtu yoyote anayedanganya ni Shetani, kwani Shetani ni baba wa uongo. Tusikubali kudanganywa ovyo, hasa watoto wetu, katika kipindi hiki cha utandawazi na teknolojia.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Tajiri bila maskini ni maskini na bila tajiri maskini ni tajiri. Tajiri akiwa na maadili, maskini atakuwa tajiri.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Radia hakuwa na makosa. Wengi huishi maisha yao bure. Yeye aliishi ya kwake kwa ajili ya watu. Hakuishi tu kama raia wa Tunisia. Aliishi kama raia wa uanadamu, maadili mema na uchapakazi. Watu walimsifu kwa kuwa na kaulimbiu ya 'Acha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta'.
- Tags
- Share