5 Quotes by Enock Maregesi about mother
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mama anaweza kufa ili mwanawe aishi, anaweza kufunga na kuomba ili mwanawe Mungu amsaidie ashinde mtihani wake, anaweza kulala njaa ili mwanawe ale, anaweza kujitolea vitu vingi au mambo mengi katika maisha yake ili mwanawe aishi vizuri, anaweza kuingia dhambini ili mwanawe asamehewe.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukimheshimu baba au mama yako katika mambo mema au mabaya umemheshimu Mungu katika mambo mema.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kama huna mama, kama mama yako alishafariki, au kama yupo lakini hakujali, hata kama baba yako yupo au hayupo, mafanikio yako yatatokana na juhudi zako mwenyewe.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na mbili na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako kama mama yao alishafariki. Yule ambaye hajawahi kuolewa au aliyewahi kuolewa lakini akaachika bado ni kubahatisha, kwa sababu hujui kwa nini hajaolewa au kwa nini aliachika, hata kama ana watoto.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Huna mama huna mtetezi. Jitetee!
- Tags
- Share