8 Quotes by Enock Maregesi about pride
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Shetani hatawasamehe wanadamu kwa sababu ya kiburi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Geuza kiburi chako kuwa hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Turn your pride into wisdom.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kabla hujatenda dhambi Roho ya Mungu itakwambia kwamba hiyo ni dhambi. Ukiitenda hicho ni kiburi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Toba ina nguvu zaidi kuliko kiburi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Nisipopiga simu hupigi. Usipopiga sipigi. Hicho ni kiburi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Usipojisajili BASATA watasema una kiburi. Serikali hupenda watu iliyoridhika nao. Wasanii wote nendeni BASATA mkajisajili.
- Tags
- Share