5 Quotes by Enock Maregesi about sympathy
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke aliyempenda sana, atajisikia vibaya kama utakavyojisikia vibaya kufiwa na mke uliyempenda sana. Kuwa na huruma kwa waliokukosea, wakati wa shida.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Serikali haishirikiani na huruma katika kufanya maamuzi yake. Inashirikiana na akili.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Government is not moved by sympathy. It is moved by ingenuity.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Serikali haibabaishwi na huruma. Inababaishwa na akili.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Serikali haiendeshwi na huruma. Inaendeshwa na akili.
- Tags
- Share