5 Quotes by Enock Maregesi about teacher
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Jifunze kutoka kwa mwalimu, jifunze zaidi kutoka kwa wenzako.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Huwezi kuwa na mwalimu mzuri bila daktari mzuri, na huwezi kuwa na daktari mzuri bila mwalimu mzuri.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mwalimu mzuri ni wa muhimu zaidi kuliko daktari mbaya, na daktari mzuri ni wa muhimu zaidi kuliko mwalimu mbaya.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kati ya mwalimu na daktari mwalimu ni zaidi, kwa sababu ualimu unatoka kwa Mungu, ambaye ndiye Mwalimu wa kwanza.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mwalimu wa udaktari alipata maarifa ya udaktari kutoka kwa daktari, aliyepata maarifa ya udaktari kutoka kwa Mungu.
- Tags
- Share