5 Quotes by Enock Maregesi about untruth
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Vita ya dhambi hupiganwa katika uwanja wa akili na katika uwanja wa mwili kati ya Shetani na Mungu. Hutumia silaha kuu ya uongo na silaha kuu ya ukweli. Mungu anataka tuujue ukweli. Shetani anataka tuujue uongo. Kushinda vita ya dhambi huna budi kutumia neno la Mungu, kama Yesu alivyolitumia kumshinda Shetani wakati akijaribiwa katika Mlima wa Majaribu wa Jangwa la Yuda.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Hadithi ya maisha yangu ni yangu. Wewe ni nani kusema hadithi yangu si ya kweli?
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thamani ya utu wako.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine.
- Tags
- Share