23 Quotes by Enock Maregesi about truth
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kujua ukweli juu ya uraibu wa madawa ya kulevya kunaweza kumsaidia mtu kujua madhara ya madawa ya kulevya.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiwa na mafanikio ya Shetani hayo si mafanikio ya kweli. Ukiwa na mafanikio ya Mungu hayo ndiyo mafanikio ya kweli. Mafanikio ya kweli hayatokani na NINI unacho. Mafanikio ya kweli yanatokana na NANI unaye. Yesu Kristo alikuwa maskini, hakuwa na kitu; lakini alikuwa tajiri, alikuwa na Mungu ndani ya moyo wake.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Pambana na Shetani kwa upanga wa imani ambao ni ukweli kwani ukweli ndiyo utakaokuweka huru.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thamani ya utu wako.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Tunasema uongo kwa sababu hatuna ujasiri wa kusema ukweli. Ukweli hautupi uhuru, unatupa upweke.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kama umefanya au umesema kitu kibaya na ukasema ukweli mbele ya mtu au ya watu, omba msamaha kupata tena kibali cha umma.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Siwaogopi wenye dhambi ndiyo maana ninawafundisha ukweli.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Neno la Mungu tunalojifunza sasa litatufanya tuusimamie ukweli, uliodhihirishwa na mitume, katika kipindi cha dhiki kuu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine.
- Tags
- Share