34 Quotes by Enock Maregesi about Power
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kuajiri ndugu kunaathiri nguvu ya mamlaka.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Tumaini ni injini ya imani.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Mbili jumulisha mbili wakati mwingine si sawa na nne. Ni sawa na nne jumulisha moja kwa sababu moja ni nguvu ya ushirikiano.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Serikali imepewa mamlaka na wananchi kuwaendeshea nchi yao. Mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Dikteta ni kiongozi anayetawala nchi kwa amri yake peke yake bila ya kushauriwa na mtu, hasa yule aliyeingia madarakani kwa mtutu wa bunduki. Dikteta uchwara si dikteta, ni dikteta nusu.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza kuwazuia. Kwa sababu, mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. 2 + 2 = 5. Umoja una sisi, si mimi. Watu wanne wakifanya kazi kwa ushirikiano, watakuwa na nguvu ya watu watano, watakuwa na nguvu ya ziada.
- Tags
- Share