4 Quotes by Simon Mashalla about watu
- Author Simon Mashalla
-
Quote
Oga. Watu hawaogi ndiyo maana wachafu. Kuoga ni lazima kutumia maji. Ukitaka kuoga neno, tumia maji; na ukitaka kuoga maji, tumia neno; kuwa msafi. Huwezi kuyakimbia maji maana usipooga utanawa, na usiponawa utayanywa tu. Maji ni neno na neno ni uhai wa maji.
- Tags
- Share
- Author Simon Mashalla
-
Quote
Ukionyesha maisha ambayo si yako kwa watu, ujue unajipotezea muda wako pasipo kujijua. Waache watu waone wenyewe.
- Tags
- Share
- Author Simon Mashalla
-
Quote
Sijawahi ona silaha kali na nzuri kama ukweli. Ukiwa mkweli utaipenda tu. Watu wanaogopa ukweli kwa sababu ya makali yake ndiyo maana waongo.
- Tags
- Share
- Author Simon Mashalla
-
Quote
Nilipozaliwa nilipendwa na kuogopwa, watu walicheza na mimi lakini mimi sikucheza nao. Niliwapenda.
- Tags
- Share