26 Quotes About Enock-maregesi

  • Author Enock Maregesi
  • Quote

    Kiswahili ni lugha rasmi ya nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Ni lugha isiyo rasmi ya nchi za Rwanda, Burundi, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lugha ya Kiswahili ni mali ya nchi za Afrika ya Mashariki, si mali ya nchi za Afrika Mashariki peke yake. Pia, Kiswahili ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika; pamoja na Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa, Kireno na Kihispania. Kiswahili ni lugha inayozungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile, duniani.

  • Tags
  • Share




  • Author Simon Mashalla
  • Quote

    Wapo watu ambao ni gumzo katika ulimwengu wa dunia. Ukiwatazama lazima utaona tabasamu la ujasiri, ishara yake ni karibu. Enock Maregesi ni mwandishi anayestahili tuzo za juu kwa pongezi. Maneno yake katika uandishi yanaongea yenyewe kwa sauti yenye vigezo. Huwezi kuuliza kwa nini alizaliwa wakati tayari ameshazaliwa. Hongera sana kuzaliwa siku ya leo.

  • Tags
  • Share