76 Quotes About Maisha



  • Author Chrisper Malamsha
  • Quote

    saa nyingine ni vyema kucheka mambo ya kusikitisha inakufanya uonekane Jasiri mbele za jamii iliyokuzunguka lakini sio kwa wafiwa.

  • Tags
  • Share

  • Author Enock Maregesi
  • Quote

    Tengeneza maisha ya mwanao kwa kuongea naye maneno mazuri anapokuwa tumboni mwako, na anapokuwa ananyonya akikuangalia machoni.

  • Tags
  • Share