28 Quotes About Maskini
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini huamini ili uwe tajiri lazima ufanye kitu fulani. Tajiri huamini ili uwe tajiri lazima uwe kitu fulani.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini hupenda kuburudishwa kuliko kuelimishwa. Tajiri hupenda kuelimishwa kuliko kuburudishwa.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini ana woga. Tajiri hana woga.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini hana nidhamu ya mapato na matumizi. Tajiri ana nidhamu ya mapato na matumizi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini hufanya kazi kwa bidii kupata pesa. Tajiri hutumia pesa kupata pesa.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini ni mdogo kuliko matatizo yake. Tajiri ni mkubwa kuliko matatizo yake.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini huamini unahitaji pesa kupata pesa. Tajiri huamini utapata pesa kwa kutumia pesa za wengine.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Maskini ana wivu wa chuki. Tajiri ana wivu wa maendeleo.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Fikiri kama anavyofikiri tajiri. Ukifikiri tofauti na anavyofikiri tajiri, utakufa maskini.
- Tags
- Share