23 Quotes by Chrisper Malamsha

  • Author Chrisper Malamsha
  • Quote

    Baadhi ya watu wanatafuta mahali pazuri,Wengine wanatengeneza mahali kuwa pazuri.Wewe una geuza pazuri kuwa pabaya

  • Tags
  • Share


  • Author Chrisper Malamsha
  • Quote

    saa nyingine ni vyema kucheka mambo ya kusikitisha inakufanya uonekane Jasiri mbele za jamii iliyokuzunguka lakini sio kwa wafiwa.

  • Tags
  • Share

  • Author Chrisper Malamsha
  • Quote

    Ukitaka kujua watanzania wavivu kiasi gani? subiria Deadline ya maombi ya kazi au maofisini mpk mikutano wanakuja mwishon

  • Tags
  • Share




  • Author Chrisper Malamsha
  • Quote

    Mara nyingi kushinda Ugomvi ndio Heshima isiyo na maana kwenye jamii inayotambua maana ya upendo.

  • Share

  • Author Chrisper Malamsha
  • Quote

    When the wrong people follow your life, the right things start happening.

  • Share