922 Quotes by Enock Maregesi
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Waandishi ni wadadisi.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Waandishi wanapaswa kuwa wadadisi, kama paka, ijapokuwa udadisi ni hatari.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Udadisi ni hatari. Fikiri kabla ya kutenda.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida maana shida ni kipimo cha akili, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima maana hekima ni ufunguo wa maamuzi mema na udadisi wa kiakili.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Wachawi hawamwabudu Shetani kwa sababu dhana ya Shetani ni dhana ya Kikristo, na wachawi si Wakristo.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ukiwa na mawazo hasi utakuwa na maisha hasi, na ukiwa na mawazo chanya utakuwa na maisha chanya.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Usipomlea mtoto wako vizuri, atakapopata shida akiwa mkubwa, na wewe utapata shida pia. Kama unadhani ameshindikana, ongea lugha anayoielewa.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Saa nane za usiku timu nzima ya Vijana wa Tume ilirudi San Ángel katika helikopta ya DEA, tayari kwa safari ya Salina Cruz katika jimbo la Oaxaca. Kukamatwa kwa Gortari, Eduardo na Dongyang ulikuwa ushindi mkubwa wa kwanza wa Tume ya Dunia. Ushindi huo ukalipua wimbi la kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa, wa Kolonia Santita, dunia nzima.
- Tags
- Share