24 Quotes by Enock Maregesi about Wisdom
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Neno moja kutoka mdomoni mwako linaweza kukuletea madhara makubwa. Fikiria kwanza maana ya kitu unachofikiria (ambacho tayari umekisema kichwani mwako) kabla ya kukisema tena mdomoni mwako. Wenye hekima huzungumza kwa sababu wana kitu cha kuzungumza. Wapumbavu hubwabwaja.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Heshima hujengwa kwa hekima, haijengwi kwa misuli.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Fikiria kwanza maana ya unachosema. Halafu sema.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Geuza kiburi chako kuwa hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Turn your pride into wisdom.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Bila kiburi hutamshinda Shetani, lakini kiburi dhidi ya Shetani unakishinda kwa hekima.
- Tags
- Share
- Author Enock Maregesi
-
Quote
Ikiwa huna pesa na una mke na watoto kwa mfano, mke wako (wanawake walio wengi) hatakuona wa maana kwa sababu ya ustawi wa maisha ya familia yake. Ikiwa una mwanamke asiyekuwa na busara au hekima ya kutosha, au mwanamke ambaye akili zake zimefyatuka kidogo, atakusaliti kutafuta bwana au mtu mwenye maana. Kama huna pesa huna maana kwa mwanamke.
- Tags
- Share